Wahamiaji haramu wakiwa kituo cha polisi mkoani Morogoro mara baada ya kukamatwajana wakisafirishwa
 
Mmoja
 wa wahamiaji haramu akishushwa katika gari la mizigo lillokuwa limebeba
 shehena ya chokaa lililokuwa likitokea mkoa wa tanga na kukamatwa jana 
mkoani morogoro
Viroba vya unga ambapo watuhumiwa walifungiwa kwa minajiri ya kujificha
 
Mmoja wa wahamiaji haramu akisaidiwa kusimama na askari
