Askari
wa usalama barabarani aliyetambulika kwa jina la Shirima, akiwa hoi kwa
pombe katika bar moja eneo la Sanawari ,anadaiwa alianza ulevi wa
konyagi majira ya asubuhi.MAJANGA:. PICHA YA TRAFIKI AKIWA HOI KWA POMBE
Askari
wa usalama barabarani aliyetambulika kwa jina la Shirima, akiwa hoi kwa
pombe katika bar moja eneo la Sanawari ,anadaiwa alianza ulevi wa
konyagi majira ya asubuhi.