Michael
Schumacher mshindi mara saba wa mashindano ya Formula One yupo kwenye
hali tete baada ya kufanyikwa matibabu kutokana na ajali aliyopata akiwa
anacheza mchezo wa kuteleza kwenye barafu.
Schumacher mwenye miaka 44 alidondoka mapema Jumapili na kugonga kichwa chake kwenye mwamba na hizi ni taarifa kutoka kwenye kituo ambacho alikuwa anacheza huo mchezo.
Japokuwa managers wa kituo hicho wamesema Schumacher alikuwa amevaa helmet wakati anacheza.
Baada ya ajali hiyo Michael alofikishwa kwenye hospital ya the Grenoble University Hospital Center kwa ajali ya matibabu.