Mr. Nice (kulia).
Mwanamuziki aliyevuma sana kipindi cha nyuma Mr. Nice amealikwa
kufanya filamu mpya na kampuni ya VAD production iliyopo nchini Denmark
inayomilikiwa na mtanzania anayeishi nchini humo Mr. Babingwa.Katika
mwaliko huo Mr. Mr nice alipata nafasi ya kufanya mahojiano na
mtangazaji wa Swahili talk radio ya nchini humo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)