BREAKING NEWS:. MAJAMBAZI WATATU WAUAWA MORO VIJIJINI

WATU watatu wanaosadikiwa kuwa majambazi wameuawa kwa kuchomwa moto usiku wa kuamkia leo baada ya kuvamia dukal a mama mmoja wa kijiji cha Kisiwa, kata ya Kiloka, wilaya ya Morogoro Vijijini.
Jumla ya majambazi hao walikuwa 10 ambapo saba walifanikiwa kutokomea na watatu kutiwa nguvuni na wananchi wenye hasira kali walioamua kuwatia moto!


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...