Stori: Mayasa MariwataMSANII
kinda kwenye tasnia ya filamu Bongo, Rahma Bagenzi ‘Rayuu’ amesema
kuwa, kamwe hatokoma kutembea na waume za watu kwa kuwa sheria ya dini
yake ya Kiislamu inamruhusu kuolewa na mume wa mtu.
Rahma Bagenzi ‘Rayuu’.
Akipiga stori na paparazi wetu, Rayuu alisema kipindi cha nyuma
aliwahi kutoka kimapenzi na mume wa mtu (hakumtaja jina) na kufikia
hatua ya kufikishwa polisi na mwenye mke lakini haimaanishi kuwa
hatatembea tena na mume wa mtu.
“Nikila kiapo cha kutotembea na waume za watu nitakuwa naongopa,
kwanza dini yetu imeruhusu ndoa za uke wenza huenda Mungu kaniandikia
niolewe ndoa ya aina hiyo sina uwezo wa kupingana naye,” alisema Rayuu
Kutokana na maadili ya kitanzania kuangalia hizi picha za RAYUU shariti uwe na umri wa +18
Kwa kuangalia hizo picha bofya hapo chini