
Ommy Dimpoz aka PKP akiwa na Salama Jabir katiak uwanja wa Chelsea FC Stamford bridge kuangalia mechi kati ya Chelsea vs Everton

Ommy Dimpoz na Salama Jabir wakiwa na mchezaji chipukizi wa Chelsea Adam Nditi

Ommy akiwa na wachezaji chipukizi wa Chelsea baada ya mechi kumalizika Adam Nditi kulia na Islam Feruz Kushoto