Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Makongo, Priscus Mallya, baada ya kufariki katika ajali ya lori na Bajaj.
Mwili wa Priscus Mallya ukiwa katikati ya barabara ya Ali Hassan Mwinyi baada ya ajali.Kwa mujibu wa watu waliokuwa eneo la tukio wakati ajali hiyo ikitokea, wamesema kuwa mwanafunzi huyo alikuwa ndani ya Bajaj pamoja na wenzake wawili wakielekea shuleni Makongo ambapo walikutana uso kwa uso na lori kisha kumrusha na kutokea upande wa pili marehemu.
(PICHA/STORI: ANDREW CARLOS, DENIS MTIMA/GPL)
