WATU
wanne wameuawa na wananchi waliokuwa na silaha za jadi kisha kukatwa
mapanga wakituhumiwa kuiba ng'ombe katika kijiji cha Igwambiti,
Kitongoji cha Buhongwa, Kata ya Nyamagana, Mkoani Mwanza leo asubuhi.BREAKING NEWS:. WANNE WAUAWA MWANZA WAKIDAIWA KUIBA NG'OMBE
WATU
wanne wameuawa na wananchi waliokuwa na silaha za jadi kisha kukatwa
mapanga wakituhumiwa kuiba ng'ombe katika kijiji cha Igwambiti,
Kitongoji cha Buhongwa, Kata ya Nyamagana, Mkoani Mwanza leo asubuhi.