Baada
ya mvua kubwa kunyesha jana mkoani Njombe, kituo hiki cha Njombe
kimegeuka matope matupu na kusababisha watumiaji kupata tabu ya kutembea
kwa shida na kutafuta eneo la kukanyaga ili wapite.
Abiria ambaye jina lake halikujulikana mara moja akipita kwenye matope yaliyosheheni kwenye kituo hicho cha mabasi Njombe.Eddy Blog inaamini kuwa hii adha itaendelea kuwakumba wananchi na watumiaji wa kituo hiki kwa pamoja hivyo kwa kauli ya halmashauri inabidi abiria hao wazidi kuwa wapole na kuvumilia hali hii mpaka kijengwe kituo kipya!
(Picha na Eddy Blog)






