HALMASHAURI YA JIJI YABOMOA MEZA ZA MACHINGA POSTA DAR Unknown 12:09 PM Maafande wa Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi leo wameendelea na bomoabomoa ya meza za wafanyabishara ndogondogo 'Wamachinga' kama walivyonaswa na kamera yetu maeneo ya Posta Mpya jijini. PICHA: RICHARD BUKOS / GPL Share this Share on FacebookTweet on TwitterPlus on Google+