
Kata ya Pera.

Kata ya Bwilingu

Kata ya Lugoba

Mkoa wa Vyuo Vikuu bega kwa bega katika kufanikisha ushindi kwa CCM Chalinze

Kila mwenye uwezo wa kucheza alicheza siku ya ufunguzi wa kampeni.

CCM kushinda Chalinze kwa aina yake ya Kampeni ya kistaarabu. Mgombea wake aonekana kuyajua matatizo ya wananchi vizuri na majibu ya matatizo yao