Home » 
Uncategories » 
KUELEKEA SHEREHE ZA MIAKA 50, MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUFUNGUA KONGAMANO LA MUUNGANO MJINI ZANZIBAR  
          
        
          
        
KUELEKEA SHEREHE ZA MIAKA 50, MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUFUNGUA KONGAMANO LA MUUNGANO MJINI ZANZIBAR 
Unknown
6:25 PM
 
Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed  Gharib 
Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Muungano katika 
Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort, mjini Zanzibar leo Aprili 19,
 2014. Picha na OMR 
Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanoa, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akizungumza jambo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, 
(Muungano) Samia Suluhu, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Muungano 
lililofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort, mjini 
Zanzibar leo Aprili 19, 2014. Picha na OMR 
Baadhi
 ya washiriki waliohudhuria Kongamano  hilo, wakimsikiliza makamu wa 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, 
wakati akifungua Kongamano la Muungano kwenye Ukumbi wa Hoteli ya 
Zanzibar Beach Resort, leo Aprili 19, 2014. Picha na OMR 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa pili wa Rais, Mohamed Aboud, akizungumza wakati wa Kongamano hilo. Picha na OMR
Viongozi
 waliohudhuria Kongamano hilo, wakiwa meza kuu. Wa pili (kulia)  Makamu 
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, 
(wa kwanza kushoto) Makamu wa pili wa Rais wa Zanznibar, Balozi Seif 
Iddi, (wa pili kushoto) ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais 
(Muungano) na (kulia) ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa pili wa Rais,
 Mohamed Aboud. Picha na OMR