Nay akiwa na mpenzi wake Siwema.
Stori: MAYASA MARIWATAMWANAMUZIKI Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ amesema yupo kwenye mikakati ya kufunga pingu za maisha na mpenzi wake anayejulikana kwa jina la Siwema baada ya kumtundika mimba.
Siwema wa Nay.
“Kikubwa
naomba Mungu mipango yangu iende kama nilivyopanga kwa sababu nataka
kabla mtoto hajazaliwa tuwe ni wanandoa tunaotambulika kwa Mungu kwa
kufunga pingu za maisha,” alisema Nay.
Akizungumzia
kubebeshwa mimba na msanii huyo, Siwema aliliambia Ijumaa: “Najisikia
furaha sana kumbebea mimba Nay, tumetoka mbali naamini ndoto yetu ya
kuoana itatimia siku si nyingi.”
