SUPER STAR IRENE UWOYA ATIA AIBU, BAADA YA KILEVI KUMZIDI AFANYA UOVU HADHARANI


 Hapa Owoya akifurahi jambo toka kwa Baba haji kabla ya kukolea kilaji.
Mmh hapo sasa sijui alikuwa anahitaji nini Owoya kwani akiwa amemgusa sehemu nyeti baba haji.

Na Laulant Samata Kamera za kisasa za gazeti la Maskani Bongo zilizokuwa zimesambaa ukimbi mzima kwenye party ya Bongo movie zilifanikiwa kunasa tukio moja la aibu toka kwa mastaa Irene Uwoya na Baba Haji wakiwa wamegandana kama ruba huku wakipapasana sehemu nyeti. CREDIT: MASKANI BONGO, PATA KOPI YAKO LEO JUMATANO MTAANI


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...