Inawezekana
ikawa si mara ya kwanza kusikia habari za wasanii kulalamika kuhusu
kuvuja kwa nyimbo zao,Diamond Platnumz nae ana malalamiko yake juu ya
hili na hii ni baada ya siku ya leo kusambaa kwa wimbo wake unaoitwa
Kitorondo ambao yeye hajautoa lakini kashangaa kuukuta kwenye mitandao
ya kijamii.
Kupitia Akaunti yake ya Instagram
ameandika kuhusu wimbo huo ambao nyimbo kadhaa za Diamond akitangaza
kuvuja kwa wimbo huo ambaye hata yeye kashangazwa na hali hiyo huku
akisisitiza kuwa iliyotoka haikua imekamilika,huu ndiyo ujumbe
alioandika Diamond.
KUSIKILIZA NYIMBO HIYO >>>> BOFYA HAPA<<<<<
