BREAKING NEWS:. BASI LA KAMPUNI YA LIM SAFARI LIMEPATA AJARI LIKIELEKEA ARUSHA

Basi aina ya YUTONG la kampuni ya LIM SAFARI limepata ajali eneo la kwa Mndulu katika wilaya ya Korogwe mkoani Tanga mchana wa leo, hata hivyo ni jambo ya kumshukuru Mwenyezi Mungu abiria wote waliokuwa kwenye basi hilo walinusurika kifo lakini raia wawili wa kigeni waliokuwa pembezoni mwa barabara wamejuruhiwa kwa kupata michubuko sehemu mbalimbali za mwili. Basi hilo lilikua likitoka jijini Dar es Salaam kuelekea Arusha likiwa na namba za lenye usajili T578CQR.





Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...