TAZAMA TASWIRA ZA MKUTANO WA DK SLAA IGUNGA MJINI

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willbroad Slaa akiwahutubia wananchi wa Igunga mjini jana katika Uwanja wa Barafu wakati akihitimisha ziara ya kuimarisha na kukagua uhai wa chama, mkoani Tabora.
Wananchi wa Igunga mjini wakiinua mikono juu wakati Dk. Slaa akiwahutubia jana katika Uwanja wa Barafu mkoani Tabora.
(Picha zote na Chadema)


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...