UTAJIRI WA MSANII WA BONGO MUVI SASA NI GUMZO LA MITANDAO YA KIJAMII NCHINI MJUE NI NANI HAPA LIVE!!

'Kelvina John'

MSANII huyu maarufu hapa nchini kutoka Bongo Movie alivyofanya mahojiano mafupi moja kwa moja kupitia simu ya kiganjani na website ya Masai Nyotambofu Alizungumzia lengo la kwenda kufanya Soping Dubai badala ya Tanzania,
Alisema hivi: Nia na lengo lakuja huku nimekuja kuongeza vifaa vya kampuni yangu maana kuanzia mach 2 naanza kushoot show ya Dance an win ambayo inaandaliwa na Farida Abdul kampuni yangu itafanya shooting ya show hiyo mwanzo mpaka mwisho pia
nitaanza kushoot kipindi changu cha maji moto ambacho nimesha kisajili nakitarushwa African Magic.

Nawaomba Watanzania wenzangu na Africa kwa ujumla wakae tayari kwa Dance an win na kipindi cha Maji moto. Alisema 'Kalvinas'
Kiasi fulani cha Fedha alizokuwa akitumia katika kufanya Shoping ya nguvu...
'Farida abdulDirector na muandaaji wa Dance an win akiwa katika pozzz na Tabasam la nguvu.


'Kelvina John' Akiwa katika bonge la supermaket huko Dubai.



























Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...