DJ WA MAISHA CLUB DODOMA ANASWA AKIVUNJA AMRI YA SITA HADARANI NA MHESHIMIWA.....


Dj maarufu wa New Maisha Club Dodoma ajikuta kwenye wakati mgumu baada ya kunaswa na Paparazi wetu katika hali ambayo si ya kawaida, Ilikuwa ni majira ya usiku mnene ambapo Dj huyu wa Maisha Club alinaswa na Paparazi wetu maeneo flan akiwa na msichana mdogo mdogo ambaye inasadikika na Mheshimiwa wa cheo kikubwa serikalini(Jina tunamhifadhi),

Paparazi wetu aliwanasa wakipeana ladha wazi wazi na kila mmoja kuonekana mdhaifu kwa mwenzake,Dj Abou pamoja na mheshimiwa huyo baada ya kushtukua amenaswa na paparazi wetu,Alimshushia mkwala mzito sana na kutishia kufunja camera ya paparazi wetu, lakini mkwala huo uliishia kupotelea angani baada ya wasamaria wema kuja kumaliza mzozo huo.

CDT:Boss Ngasa


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...