Home »
Uncategories »
BASI LA AM COACH LAPATA AJALI IPULI NA KUSABABISHA KIFO CHA MWANAFUNZI MMOJA
BASI LA AM COACH LAPATA AJALI IPULI NA KUSABABISHA KIFO CHA MWANAFUNZI MMOJA
Unknown
1:24 PM
Umati mkubwa wa watu ambao ulifiika kushuhudia ajali hiyo.
Askari
Polisi Kitengo cha usalama barabarani wakiuchukua mwili wa mtoto
aliyegongwa na basi la kampuni ya A.M maeneo ya Ipuli Mnadani ambalo
lilikuwa likitokea jijini Mwanza,katika ajali hiyo watu kadhaa
wamejeruhiwa.
CHANZO: JAMIIFORUMS