Home »
Uncategories »
VIFO VYA MASTAA VYAMPA HOFU SUPERSTAAR DAVINA
VIFO VYA MASTAA VYAMPA HOFU SUPERSTAAR DAVINA
Unknown
1:15 PM
Stori: Hamida Hassan
HOFU! Staa wa sinema za Kibongo, Halima Yahya
‘Davina’ amewashauri wasanii kujikabidhi mikononi mwa Mungu kwani anaona
jinsi wasanii wanavyozidi kupukutika.
Halima Yahya ‘Davina’.
Kuonesha msisitizo, Davina amewasihi wasanii wenzake kuacha kutumia
pombe na kwa wale ambao wanatajwa katika ishu za usagaji, waache mara
moja kwani Mungu anajidhirisha kila kukicha kwamba yupo na watu waishi
kwa matakwa yake.
“Nawashauri wenzangu kuwa usanii siyo ufuska kama baadhi
wanavyofanya, tumrudie Mungu na tujifunze kupitia vifo vya mastaa
wenzetu, kufa kupo tu lakini je, tumejiandaa vipi?” Alihoji Davina kwa
hofu.