Yanga Moro wakutana kujadili kifo cha mwenyekiti wao



 Katibu wa tawi la yanga Morogoro[kulia] na mwekahazina mkuu wa tawi hilo Bi,Emmy Kiula wakiwaongoza wanachama wa timu hiyo kwenye kikao cha dhalura cha kujadili kifo cha mwenyekiti wao Mrehemu lnjini Hamisi Katoto,
kikao hambapo baada ya kikao hicho wanachama hao walikwenda kulala kwenye msiba wa mwenyekiti wao
Aidha katika kikao hicho baadhi ya wanachama hao wa yanga walimshutumu mwenzao Frank Pota kwa kutinga kwenye kikao hicho akiwa na frana yenye rangi nyekundu na njeupe rangi ambazo ni sumu kali kwao timu hiyo kwani hutumiwa na mahasimu wao wakubwa Simba,
.Pota pia ni shabiki wa Arsenal na jezi hiyo ni ya Arsenal
Baadhi ya wanachama wa timu hiyo wakiwasikiliza viongozi wao kwa simanzi kubwa.
lnjini katoto ambaye alikuwa mwenyekiti wa tawi hilo la Yanga anatarajiwa kuzikwa leo majira ya saa 10 jioni katika makaburi ya Kolla  
Picha zote na Dustan Shekidele,Morogoro


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...