MZEE ZAHIR ALI ZORRO AFUNGUKA..."SIPO TENA KWENYE SHINDANO LA TUSKER PROJECT FAME"

Muimbaji mkongwe wa muziki Tanzania, Zahir Ali Zorro ambaye Jumapili iliyopita aliungana na Ian Mbugua wa Kenya na muimbaji Juliana Kanyomozi wa Uganda kama majaji wa Tusker Project Fame, msimu wa 6, amesema hayupo tena kwenye shindano hilo.

Zahir alitoa taarifa hiyo kwenye Twitter, kumjibu shabiki aliyemwambia kuhusu shindano hilo.

zahir ally zorro @ZahirAlly 
@achirex_mtz  Thank you Sir, But i'm workin' on something else now. No longer with tpf6

3:07 AM - 7 Oct 2013


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...