Mwalimu Julius Kambarage Nyerere enzi za uhai wake.
Ni miaka 14 sasa tangu ulipotutoka Baba wa Taifa, Mwalimu Julius 
Kambarage Nyerere. Daima tunakukumbuka kutokana na hekima na busara zako
 pamoja na kudumisha Umoja, Amani na Mshikamano kati yetu Watanzania.
