Mabaki ya damu yakiwa yametapakaa kwenye Kiberenge.
Mtu
mmoja ambaye jina lake halikuweza kujulikana mara moja akiwa kwenye
pikipiki yake jana mchana maeneo ya Banda la Ngozi, Ilala jijini Dar es
Salaam amegongwa na Kiberenge na kuvunjika mguu.
SOURCE: GPL