Waziri
 Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa akitoa 
heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu David Pelo Kivuyo aliyekuwa 
Diwani wa zamani wa Makuyuni. Marehemu Pelo, ambaye pia aliwahi kuwa 
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Monduli, alifariki tarehe 22 Desemba mwaka 
huu na kuzikwa nyumbani kwake Makuyuni jana Desemba 28. Alifariki 
kutokana na maradhi ya shinikizo la damu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
 

 
