MSANII
nyota wa filamu Tanzania, Salma Jabu maarufu kama Nisha yamemkuta
makubwa baada ya habari kuvuja kuwa kumbe sababu ya kuumwa hadi kuzidiwa
kitandani, ilitoka na kuchoropoa mimba changa aliyokuwa nayo.
Gazeti
la Maskani Bongo lilitonywa na mtu wa karibu wa msanii huyo ambaye yupo
ndani ya familia hiyo baada ya kusambaa kwa habari kuwa Nisha aliugua
gonjwa la ajabu ghafla katika mitandao ya kijamii na magazeti pendwa.