WAZIRI MKUU MSTAAFU AUPOKEA MWAKA MPYA NYUMBANI KWAKE NA SHEREHE KUBWA ONA HAPA LIVE!!

Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Edward   Lowassa akiwasalimia wageni waalikwa.
  Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akizungumza katika sherehe ya mwaka mpya nyumbani kwake Ngarashi Monduli.Pembeni yake ni mkewe mama Regina Lowassa.
   Akizungumza na Naibu waziri wa ardhi na nyumba OleMedei
  Wageni waalikwa mbalimbali
Mwenyekiti wa wenyeviti wa uvccm Manko Hiru akizungumza katika sherehe hizo


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...