


Aneth Kushaba AK47 akiimba na kucheza na mashabiki wa Skylight Band wanaokunwa na uimbaji wake.





Hapo Je......Tiki titi titi......hii ni Gym tosha kila Ijumaa ndani ya Thai Village Masaki.

Mary Lucos akiwaburudisha mashabiki wa Skylight Band.

Skylight Band na watu wastaarabu ndani ya kiota cha Thai Village.

Hashim Donode akikamua jukwaani.

Mzungu akionekana kuchizika na Skylight Band.

Mary Lucos akiwapa raha za Pwani mashabiki wa Skylight Band.

Wake kwa waume kwa raha zao wakizungusha mduara.

Mh. Bundala kwa raha zake akijinafasi.....burudani mwanzo mwisho....

Sam Mapenzi akipagawisha mashabiki wa Skylight Band....!

Skelewu....Skelewu....Skeleleleeeee....!!

Aneth Kushaba AK47 akicheza na mdau Anorld wa Skylight Band.

Aneth Kushaba AK47 na Petit Man wakipata Ukodak.

Mdau kutoka DStv na warembo wa ukweli ndani ya Thai Village.

Mwanafamilia wa Skylight Band Victor Maginga akipata Ukodak na wadau.

Mdau Alois Ngonyani na Swahiba wake.

Mdau
Cosmas Mtesigwa (kulia) na marafiki kabla ya kukwea pipa kuelekea
Zambia aliamua kuja kula bata na Skylight Band.....Vitu kama hivi adimu
nchi za watu...

Wadau wakiendelea kupata Ukodak.

Wadau wakipata Ukodak.
