BREAKING NEWS: LORI LA TANKI LA MAFUTA LAPINDUKA RUVU DARAJANI Unknown 6:31 PM Lori la tanki la mafuta lapinduka katika barabara ya Morogoro, jirani na Daraja la Ruvu na kufunga njia hivyo kusababisha foleni kubwa ya magari na adha kubwa kwa wasafiri. Ajali hiyo imetokea muda mfupi uliopita na njia haipitiki! Share this Share on FacebookTweet on TwitterPlus on Google+