Home »
Uncategories »
HEMEDI PhD AMEMTANGAZA RASMI MCHUMBA WAKE, PAMOJA NA UJIO WAKE MPYA, SOMA HAPA
HEMEDI PhD AMEMTANGAZA RASMI MCHUMBA WAKE, PAMOJA NA UJIO WAKE MPYA, SOMA HAPA
Unknown
4:07 PM
“So proud to call you my woman…..its official,” ameandika staa huyo wa filamu na muziki kwenye picha inayomuonesha akiwa na mpenzi wake aliyoiweka Facebook.
Wakati huo huo, Hemedy ametangaza ujio wa single yake mpya, On My Wedding Day.
“So
proud to announce my new coming single “on my wedding day” produced by
sei records…inatoka mwezi wa 4/2014..after single ya rest of my life
this is my brand new song…#coming soon.”