Home »
Uncategories »
SANDRA AONYA MASTAA WASAGAJI NA MASHOGA
SANDRA AONYA MASTAA WASAGAJI NA MASHOGA
Unknown
10:06 AM
Na Mayasa Mariwata
MSANII wa filamu za Kibongo, Salma Salmini ‘Sandra’ amesema
kinachowaponza mastaa wengi kutopenda kuingia kwenye ndoa ni kupenda
vitendo vya usagaji na ushoga.
Msanii wa filamu za Kibongo, Salma Salmini ‘Sandra’
Akipiga stori na paparazi wetu, Sandra alisema vitendo hivyo
vimekuwa vikishamiri siku hadi siku kwa mastaa hususan wa filamu kwa
tabia ya kupenda kuiga nchi za jirani.
“Ushoga
na usagaji ni janga kwa mastaa, matokeo yake wengine hata wakibahatika
kuingia katika ndoa wanashindwa kupata watoto kirahisi, hali inatisha,
tubadilike,” alisema Sandra.
GPL