Home »
Uncategories »
SNURA AKUBALI KUUKACHA MDUARA, SASA KUIBUKIA KWENYE RUSHA-ROHO
SNURA AKUBALI KUUKACHA MDUARA, SASA KUIBUKIA KWENYE RUSHA-ROHO
Unknown
10:00 AM
Na Gladness Mallya
MKALI wa kuvurugwa, Snura Mushi ‘Snura’ ameweka plain kuwa anaweza
kuuweka pembeni kwa muda muziki wa mduara na kuimba muziki wa taarabu
kutokana na maoni ya mashabiki.
Mkali wa kuvurugwa, Snura Mushi ‘Snura’.
Akifunguka katika mahojiano maalum na Global TV Online, Snura
alipoulizwa kuwa atafanya muziki wa mduara hadi lini ndipo alipobainisha
kuwa anaweza kubadilika na tayari ana wimbo wa taarabu ameshaufanya.
Ili kutazama mahojiano kamili, ingia katika tovuti ya www.globalpublishers.info utakutana na mpango mzima kwani tayari umetupiwa tangu Jumatatu iliyopita.
GPL