Zilikuwa
 ni shangwe zakupitiliza pale mkali kutoka tzee Jaydee ilipofika zamu 
yake ya kupanda jukwaani, unaambiwa vile amepanda tu, uwanja mzima 
uliokuwa umefurika mashabiki, ulikuwa umeanza kupiga kelele zikisema 
yahayaa, ilikuwa ni kuanzia alipoanza kuimba nyimbo ya kwanza hadi ya 
saba, lakini watu wapi, walikuwa wamekazia na kuendelea kupaza sauti 
wakililia wimbo wa yahaya. Ni jambo ambalo hata lady Jaydee mwenyewe hakulitegemea.
Jaydee alifunguka nakusema “Tangu naanza kuimba wimbo wa kwanza mpk wa 7 watu wana scream tu, Yahaya, Yahaya. Duuuh! Kenya vipi?
