Home » 
Michezo
 » 
BREAKING NEWS:. KOCHA MPYA WA SIMBA ATUA DAR
 
          
        
          
        
BREAKING NEWS:. KOCHA MPYA WA SIMBA ATUA DAR
                    
                
Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri. 
Kocha
 Mzambia Partick Phiri ametua Dar kwa ajili ya kusaini mkataba wa kuinoa
 Simba. Yupo njiani kuelekea klabuni hapo akitokea Uwanja wa Ndege.