MASANJA MKANDAMIZAJI AONGELEA ISSUE YA WEMA NA DIAMOND.

Wema, Mkandamizaji na Diamond
Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa mambo Instagram basi jana na leo kume kua na hili swala la Wema na Diamond. Tema Wema wakitaka na wameanzisha hashtag ya #BringBackOurWema na kutoa maoni, lawama na masikitiko yao juu ya Wema huku lawama kubwa kabisa akipewa Diamond ambaye nae ameisha wajibu (soma alicho kisema hapa). Sasa kwa jinsi mambo yanavyo enda nae Mkandamizaji aka Street Pastor ameamua kusema yake ya moyoni kama ifuatavyo


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...