JK AWASILI IRINGA KUHUDHURIA MAADHIMISHO YA KILELE YA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, KUMBUKUMBU YA BABA WA TAIFA NA WIKI YA VIJANA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili Uwanja wa Ndege wa Nduli mjini Iringa jana.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Iringa mjini Mhe. Msigwa katika  Uwanja wa Ndege wa Nduli mjini Iringa leo Oktoba 13, 2013 kuhudhuria Maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenye wa Uhuru, Wiki ya Vijana na Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere zitaziofanyika leo (Oktoba 14, 2013) katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Samora.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Kamanda wa Vijana Iringa Mhe. Asas katika  Uwanja wa Ndege wa Nduli mjini Iringa jana.

(PICHA NA IKULU) 


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...