TUTAKUKUMBUKA DAIMA BABA WA TAIFA

 
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere enzi za uhai wake.
Ni miaka 14 sasa tangu ulipotutoka Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Daima tunakukumbuka kutokana na hekima na busara zako pamoja na kudumisha Umoja, Amani na Mshikamano kati yetu Watanzania.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...