Rais Kikwete awatembelea na kuwafariji wagonjwa Muhimbili....

 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali mtoto Andrew Simba(15) aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili wakati Rais alipowatembelea na kuwafariji baadhi ya wagonjwa katika wodi ya Mwaisela .(picha na Freddy Maro).


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...