Home »
Uncategories »
KALA JEREMIAH AFUNGUKA KUHUSU UVAAJI WA NUSU UCHI WA MSANII BONGO MOVIES
KALA JEREMIAH AFUNGUKA KUHUSU UVAAJI WA NUSU UCHI WA MSANII BONGO MOVIES
Unknown
3:08 PM
MSANII
kutoka jiji la Mwanza ambaye alipata umaarufu kupitia Shindano la BSS
amevunja ukimya na kusema mambo mengi juu ya Msanii wa Filamu ambaye
wanatoka wote jiji moja la Mwanza ambaye anajulikana kwa jina la Suzane
Michael. Kala alifunguka hayo na kusema kuwa
"Nawashangaa
sana hawa madada zetu yani wao wanaona kujiachia ndiyo wataishi mjini,
huyu dada mimi namfanhamu na sikutegemea kama ataweza kupiga picha za
hivi na kuziweka mtandaoni yani kwa hiki kitendo ameuvuruga moyo wangu
na kuuchafua kabisaaaa" alisema Kala
Mwanadada Suzane Michael
Hata ivyo kala alizidi kuongeza "Unajua
kule kwetu Mwanza mtoto wa kike anajiheshimu sana na ndiyo maana
wanazidi kupendeza ila wakija Dar tu kila kitu kinakuwa nyuma mbele
mbele nyuma." aliongezea,
Suzane Michael
Mwandishi
wetu aliamua kuvunja ukimya na kuanza kumtafuta mrembo huyu (Suzane
Michael) wa Bongo movies ambaye picha zake za nusu utupu zimezagaa
mtandaoni ili aweze kufunguka juu ya suala hili lakini bahati haikuwa
yetu kwani kila tulipojaribu kumpigia simu yake haikuweza kupatikana na
hata tulivyofika nyumbani kwake maeneo ya Sinza tuliambiwa amesafili
kaenda kwenye shughuri za sanaa.
Suzane Michael na vazi la kutokea
Mwandishi wetu hakukata tamaa ndipo alipompata rafiki wa karibu wa
msanii huyu ambaye hakutaka jina lake litajwe na akaamua kufunguka na
kusema
"Hizo
picha ni chache sana tena sana na kama Kala kasema ni mbaya basi
kakosea kwani Suzane anapicha mbaya zaidi hata ya hizo hapo na kama
unataka nitakupa uzione yani hata sisi huwa tunamshangaa yani hata
mavazi yake ya mtaani hayana maadili kabisaa yani anaonekana kama yupo
uchi tu" alisema rafiki huyo
mmMHHH.....
Mwandishi wetu alipata bahati ya kuziona hizo picha na kusema hazifai
kabisa katika jamii ila akatoa ahadi ataziachia ili kuonyesha madudu
yanayofanywa na wasanii wetu wa Bongo Movies.
CREDIT TO SWAHILITZ