Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika CAF leo tarehe 31 Januari 2014 limeupa kibali
cha kuchezea mashindanoya kimataifa yanayoandaliwa na CAF uwanja wa Azam Complex Chamazi na kuufanya uwanja
wa kwanzaunaomilikiwa na klabu Afrika Mashariki kuruhusiwa kuandaa (ku-host) mashindano makubwa ya
vilabu
Kwa mujibu wa barua pepe iliyotumwa leo na CAF kupitia kwa naibu mkurugenzi wa mashindano Bwana
KhaledNassar, Uwanja wa Azam Compex Chamazi umepita vigezo vyote vinavyohitajika na CAF “ku-host”
mashindano yakimataifa hivyo kuanzia tarehe ya leo, uwanja huu unaruhusiwa “ku-host” mech za CAF
Bwana Khaled ameandika katika taarifa yake ya barua pepe kwenda TFF na Azam FC kuwa CAF ilimtuma
mkaguziwake toka nchini Zimbabwe Bwana Wilfried Mukuna kuja kukagua uwanja huu. Bwana Mukuna
aliwasilisha ripotiCAF iliyopelekea shirikisho hilo kutoa kibali kwa Azam FC na TFF kuruhusiwa kuutumia
uwanja huu kwa mechizinazoandaliwa na CAF
Uongozi wa Azam FC unatoa shukrani kwa mkaguzi wa CAF Bwana Mukuna, Uongozi wa TFF chini ya Rais JamalMalinzi, na uongozi wa CAF Cairo Misri hasa Bwana Khaled Nasser
kwa kuwezesha zoezi hili kufanyika kwa uwazina uweledi wa hali ya juu uliopelekea uwanja wetu kupata
kibali cha kutumika kwenye michezo ya kimataifa.
Azam FC ingependa kuwataarifu wapenzi wake kuwa kuanzia msimu huu mechi zake za CAF zitachezwa
AzamComplex Chamazi