Home »
Uncategories »
BREAKING NEWS:.IMAMU ANUSURIKA KIFO KWA WIZI WA ‘KITIMOTO’
BREAKING NEWS:.IMAMU ANUSURIKA KIFO KWA WIZI WA ‘KITIMOTO’
Unknown
3:00 PM
IMAMU
mmoja ambaye hakufahamika jina lake wa msikiti wa Kisesa Jijini Mwanza,
amenusurika kuuawa baada ya kuvamiwa na Waislam wenzake akiwa kituo cha
polisi Kisesa anaposhikiliwa kwa wizi wa nguruwe ‘kitimoto’.
Waislam hao
walivamia kituo cha polisi baada ya kupata taarifa za Imamu huyo
kudaiwa kuiba nguruwe ambaye anajua ni najisi kwenye dini ya Kiislam.
GPL