PICHA YA MAKALIO YA AGNESS MASOGANGE YAZUA GUMZO KWENYE MITANDAO YA JAMII

Agness masogange ndio habari ya mjini, actress wa kike anayekimbiza kwenye tasnia ya movie bongo azungumzia swala zima kuhusu makalio yake, amefunguka leo kupitia mtandao wa makubwa haya yakuwa, amekuwa akipata shida sana pindi anapokuwa anatembea barabarani au anapokuwa kwenye sehemu za starehe , huwa wanaume wengi wanamfata na kutaka kuachiwa namba za simu, lakini haitoshi tu pia wapo wakina dada huwa nao wanaulizia kuwa anatumia aina gani ya madawa kwa ajili ya kukuza makalio yake, Lakini all in all alifunguka na kusema kuwa makalio yake ni natural na hakuna ki2 anachokitumia ila amerithi kutoka kwa bibi yake jamany.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...