Nitajitahidi kupata nini kimo ndani ya Ripoti na kuwashirikisha mapema kadiri iwezekanavyo. Natumaini mkuu Mwana Mpotevu pia anaweza kusaidia upatikanaji wa ripoti hii.
Rais Kikwete apokea Ripoti ya Ukaguzi wa Mahesabu ya Serikali
Mchana huu, CAG wa Tanzania ndugu Ludovick Utouh amemkabidhi Rais Kikwete ripoti ya ukaguzi wa Mahesabu ya Serikali kwa mwaka wa fedha unaoisha.