Daktari
wa timu ya Azam Fc akitoa maelekezo kwa Katibu mkuu Nassoro Idrisa juu
ya mchezaji Frank Domayo ambaye amerejea kutoka Afrika ya kusini Baada
ya kufanyiwa Opereshen ya Msuli wa paja.
Katibu
mkuu aliambatana na baadhi ya wadau wa Azam Fc walipomtembelea na
Kumjulia hali Frank DomayoFrank Domayo kwa sasa yupo kambini chamazi
Complex