BREAKING NEWZ: BASI LA FB LAPATA AJALI LAJERUHI 4 Unknown 6:06 PM Watu 42 wamejeruhiwa,21 kati yao wakiwa na hali mbaya,baada ya basi la kampuni ya SB lililokuwa linatokea Mtwara kwenda Dar es salaam kupata ajali eneo la Mchinga-Lindi. Share this Share on FacebookTweet on TwitterPlus on Google+