Msanii maarufu nchini
Congo Fally Ipupa amenusulika kufa baada ya kupata ajali mbaya ya gari
majira ya usiku wa tarehe 7/1/2014, Hakuna mtu aliyekufa kwenye ajali
hiyo ila kuna mama ambae unamuona kwenye picha hapo chini aliumia vibaya
sana na kukimbizwa hoptitali ambapo anapata matibabu mpaka sasa
Picha na Voice of Congo