BREAKING NEZZZZ : POLISI WATUMIA MABOMU YA MACHOZI KUWATAWANYA WAENDESHA BODABODA MBEYA

Picha na Maktaba
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya Limetumia Mabomu ya Machozi kuwatawanya Wendesha Bodaboda Maarufu kama Bodaboda mara baada ya waendesha Bodaboda hao Kufunga barabara Kushinikiza Kutaka nkuchukua Sheria mkononi kwa Mtuhumiwa Aliyedaiwa Kumuuwa Muendesha boda boda Mwenzao.Wakieleza zaidi wamesema kwamba Juzi Kuna Muendesha Pikipiki Mmoja Alitekwa na Kisha Kuuuliwa na Mtu Asiyefahamika ambapo jana Alizikwa.Leo Asubuhi waendesha Bodaboda hao kupata Taarifa kuwa Mtu
aliyefanya Mauwaji yaho Ameonekana Mtaani Ndipo walipoandamana Kwenda Kumkamata Mtuhumiwa Huyo wakati Huo Jeshi la Polisi walishapata Taarifa Kuhusu Tukio hilo na kuwahi Eneo latukio walipofika Eneo la Tukio na Kumkamata Mtuhumiwa huyo hali iliyosababisha Mtafaruku waendesha Dodaboda hao Kushinikiza Jeshi la Polisi kuwakabidhi Mtuhumiwa Aliyehusika na Mauwaji ya Mwenzao hali iliyoleta Vurugu Ndipo jeshi la Polisi walipolazimika Kutumia Mabomu ya Machozi kuwatawanya.Chanzo ITV


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...