BREAKING NEWZZ : AJALI YA BASI YAUWA WAWILI MKATA

Picha na Maktaba
Watu wawili Wamefariki Dunia Kutokana na Ajali ya Basi Asubuhi Hii.
Basi Hilo Lililokuwa likitokea Jijini dar es salaam Kuelekea Mombasa Nchini Kenya Limeacha Njia Na Kupinduka na Kusababisha Vifo vya watu Wawili pamoja na Kujeruhi abiria 10.Ajali hiyo imetokea Muda Huu katika Eneo la Mkata na Goba  Barabara Kuu ya Chalinze Segera.Chanzo Itv


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...